Bongo Inc ئاپەکان
Jifunze Mapishi 4.1
Ni programu inayo kufundisha jinsi yakupikamapishi ya aina mbali mbali hasa yale ya kiasili na yale yakigenipia kuandaa vinywaji vya aina mbali mbali.Hakuna haja yakumuulizamtu endapo utakuwa na program hii.Inatoa viungo na kilakituutakacho hitaji kikubwa zaidi inakupa hatua kwa hatua ya jinsiyakupika chakula ukitakacho.